China wawawekea sehemu maalumu watumiaji wa simu wanaotembea kwa miguu

Mjini Chongqing, China, watumiaji wa simu wa simu za mkononi wamewekewa sehemu yao maalum ya kutembea huku wakitumia simu zao za mkononi kwa usalama.


Sio maajabu ni mji tu wenye viongozi wanaojali wakazi wao kiasi cha kuhakikisha watu wanaopenda kuendelea na matumizi mbalimbali ya simu zao huku wakitembea kwa usalama.

Haya Samora vipi hapo na sisi tuweke au tusiweke.
Previous Post Next Post