Big Brother Africa 2014: Hawa ndio Washiriki waliotajwa kutoka Kenya, Uganda na Zimbabwe watajwa

Yale Majina ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa yaliyokuwa yakisubiliwa kwa hamu sasa yameanza kutangazwa leo September 18, 2014 kama ilivyofahamika jana kuwa M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina matatu kila siku mpaka kufika siku ya uzinduzi wa Hot Shots October 5, 2014.





Alusa-Kenya (kushoto), Butterphly-Zimbabwe (katikati), Ellah-Uganda (kulia)

Majina yaliyotangazwa leo ni ya mwakilishi wa Kenya aitwaye Mr Melvin Alusa, mwakilishi wa Uganda aitwaye Ellah ambaye ni Miss Uganda, pamoja na mwakilishi wa Zimbabwe aitwaye Butterphly Phunk ambaye ni Dj wa kituo cha Power Fm.

 Mr Melvin Alusa (Kenya)
Butterphly Phunk ni Dj wa Power Fm ya Zimbabwe

‘Ellah’ Stella Nantumbwe ni Miss Uganda wa sasa



Ingia hapa kumfahamu mshiriki Alusa wa Kenya

Ingia hapa kumfahamu mshiriki  Ellah wa Uganda

Ingia hapa kumfahamu mshiriki  Butterphly wa Zimbabwe
Previous Post Next Post