Wajapan watisha katika hili, Watenegneza Midoli inayofanana na mwanamke mrembo na anayevutia kwa ajili ya Mapenzi

Ni ulimwengu wa Sayansi na Teknolojia,,Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli.


Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.
Mdoli wa Kufanya nao ngono

Midoli hiyo ya Mapenzi imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja.

Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika position atakayo.






Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA