Video Teaser : Lily wayne - New Video - Krazy

Ni project baada ya project kwa kundi zima la Young Money, Baada ya Lily Wayne kuachia single mpya aliyomshirikisha Drake  'Grindin' Lily Wayne ameachia kipande cha video yake mpya inayofuata inayokwenda kwa jina la Krazy , kupitia kipande hiki kidogo cha video uatweza kumuona Lil Wayne akiwa ameshikiliwa na wazungu wawili



Hii ni video ya kwanza kkatika album yake mpya ya Curter V




Get More: MTV Shows
Previous Post Next Post