Video: Dyna - I Do [Official Video]

Bada ya uvumi na amswali mengi yasiyokuwa na majibu jiu ya mahusiano kati ya Dyna Nyange na aliyekuwa mshirki wa Big Brother Nando, Hatmaye majibu ya maswali yaliyokua mingoni mwa wengi kuwa mahsuiano yao ni ya kikazi au mapenzi, ukitazama video hii utajua kwamba zile picha zilizowahi kuvuja zilikuwa ni kwa ajili ya kitu kizuri kilichofanyika katika video hii

Hii ni video mpya kutoka kwa mwandada Dyna Inayokwenda kwa jina la I DO, video imefaywa na  kmaouni ya Kwetu Studios




Previous Post Next Post