Picha: Yaliyojiri kwenye tamasha la Serengeti Fiesta Tanga 2014

Tanga usiku wa jana yaani August 23 wamepata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Mkwakwani ambapo zaidi ya wasanii 18 walitoa burudani.



Tamasha hilo lilihudhuriwa na mkuu wa wilaya ya Tanga Mjini, Halima Omary Dendego ambaye pia alipata fursa ya kukabidhi zawadi ya shilingi milioni moja kwa washindi wa kudansi. Wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Young Killer, Recho, Roma, Mr Blue, Nay wa Mitego, Stamina, Khadija Maumivu, Madee, Ali Kiba, Ommy Dimpoz, Ya Moto Band, Chege na Temba, Linah,Vanessa Mdee, Edu Booy, K.Star, Mo Music Baikoko pamoja na Jux.

Tazama picha


























Barnaba akifanya yake




Blue akifanya show Tanga

Ali Kiba akifanya yake

Nay wa Mitego na Stamina







Jux akimuuliza mrembo wa Kitanga anataka nini kutoka kwake
Jux akiwa amekumbatiana na mrembo wa kitanga
Jux akiwa na mrembo wa kitanga
Jux alimfunga kitambaa mtoto wa kitanga ili amvue shati



Mkuu wa wilaya ya Tanga Mjini, Halima Omary Dendego akiteta jambo na Mkurugenzi mzalishaji wa vipindi Clouds Media, Ruge Mutahaba
Mo Music


Ngoma ya asili Baikoko wakifanya yao
Ommy Dimpoz akicheza na mrembo wa Ndagushima




Tunda Man

Ya Moto Band wakifanya yao
                                                   Young Killer akifanya yake

Image Credit: Bongo5
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA