Hamisa akanusha kuwa na wanume wengi wanaomtaka kimapenzi

Mwanamitindo  maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.


Hamisa alisema anawashangaa watu ambao wanamtaja kuwa na msururu wa wasanii ambao anafanya nao kazi wakiwemo wadau mbalimbali wa muziki kitu ambacho hakina ukweli wowote.
“Nazushiwa tu mara DJ Choka mara sijui nani, ni hivi sina mpenzi. Nikiwa na mpenzi kila kitu nitakiweka hadharani na kila Mtanzania atamjua,” alisema Hamisa.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa