Picha: Wasanii walivyowasili Mkoani mbeya kwa ajili ya Makamuzi ya Kill Music Tour

Wasanii watakaopanda jukwaani katika tamasha la Kili Music Tour wamewasili jijini Mbeya. Wakali hao wanatarajiwa kufanya show katika viwanja vya New City hapo kesho wakiongozwa na msanii toka jijini hapo Izzo Bizness. Wengine waliowasili ni Profesa Jay, AY, MwanaFA, Joh Makini, Nikki wa Pili, Rich Mavoko, GNako Wara Wara na Chibwa huku Shilole akitarajiwa kuwasili hapo baadaye.

 GNako na Rich Mavoko wakishuka kwenye ndege uwanja wa Songwe.

 DJ Mafuvu wa East Africa Radio/TV akiongozana na Profesa Jay


 AY na Izzo Bizness wakiwasili Mbeya

 Izzo Bizness akifanya kazi ya upiga picha baada ya kushuka kwenye ndege


 Joh Makini na Izzo Bizness wakiingia katika Tour bus tayari kwa kuelekea hotelini 

Wasanii wakiwa ndani ya Tour Bus wakielekea hotelini

Profesa Jay akiwasili akiangalia mandhari ya hoteli baada ya kuwasili Mbeya
Previous Post Next Post