Picha: Ulizozimic kutoka instagram Ben pol amuonyesha kipenzi cha Roho yake!

Hit maker wa Unanichora Ben Pol kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare picha amabzo zimezua maswali mengi kwa mashabiki wake na kuuliza kuwa kama ndiye Kipenzi chake .


Hilia kupitia picha yao moja ya kimahaba aukuna maswali zaidi amabayo unaweza kuuliza kwa kichwa kwan picha ueleza kitu ambacho unataka kujua, Picha hiyo inamuonyesha Ben Pol akiwa katika pozi na Misss Miss Tanzania 2013 namba 2, Latifah


Previous Post Next Post