Picha: Tazama picha inayohit kwenye mitandao kwa sasa, Kim Kardashian na Kanye West wakiwa Kitandani

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Kim Kardashian ame-post picha aliyopiga kwa camera ya mbele (selfie) wakiwa chumbani na Kanye West.


Picha yenyewe inamuonyesha Kanye West akiwa amelala na status yake ya “Side chicks be like” ndio inaiongezea umaarufu. Hadi wakati post hii inaenda hewani, picha imepata likes zaidi ya laki 8.


Previous Post Next Post