Picha: Picha kali ulizozimic kutoka instgram wiki hii, Wema Sepetu & Ommy Dimpoz

Katika msataa wanaoongoza kwa Hedlines za mitandao kwa sasa ni pamoja na Diamond na Wema Sepetu, mbali na kuongoza kwa headlines pia mastaa hawa wanaongoza kwa kupiga picha, Katka ulimwengu wa leo kila mtu anapenda picha kwani picha ulezea na kumuonyesha mtua asilia na alivyo kwa wakati. 


Ommy DImpoz ni mshikaji mzuri sana wa wema sepetu ambaye katika wiki kadhaa zilizopita mwanadada wema sepetu alipost picha ya ommy Dimpoz instgram na kuandika kuwa amemiss san Ommy Dimpoz.

Katika wiki ya sikukuu ya idd Ommy Dimpoz alimtembelea Wema Nyumbani kwake na kuamua kupiga picha hizi kali za ukumbusho

Zicheki hapa picha









Previous Post Next Post