Picha: Lil Wayne akava jarida la XXL

Rapper wa na muanzilishi wa kundi la Young Money Lil Wayne amekava jarida la XXL issue ya August-Septmber, Hip Ho Super Star huyo alikava Jarida hilo na muonekano wake namwili uiojaa tatoo uku kichwani akiwa kavalia TRUKFIT CAP.


Mbali na kukava Jarida hilo lil Wayne pia aamefunguka juu ya Drake na Nick Minaj na Kwa nini aliwasain katika lebo ya Young Money



Previous Post Next Post