Picha: Kili Music Tour Ilivyoiteka na kuwapagawisha wakazi wa Dodoma

Mwishoni mwa wiki ilikuwa zamu ya wakazi wa makao makuu ya nchi kuishuhudia ziara ya wasanii waliofanya vizuri nchini kwa kipindi cha mwaka 2013/2014 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour.



Ziara hiyo iliwakutanisha wasanii takribani 10 ambao walitoa burudani kwa maelfu ya wakazi wa Dodoma waliofurika katika uwanja wa Jamhuri kushuhudia tamasha hilo ambalo lilikuwa likisubiriwa kwa hamu.

Tazama picha zaidi hapa...

  Malkia wa mipasho nchini Khadija Kopa aliifungua Kili Music Tour mkoani Dodoma


 Mwasiti akiendeleza burudani kwa wakazi wa Dodoma ikiwa ni pamoja na kuimba na mmoja ya 
mashabiki



 Umati wa mashabiki ukiendelea kufuatilia tamasha


 Rich Mavoko na madansa wake wakilishambulia jukwaa la Kili Music Tour Dodoma


 MwanaFA na Anna Peter wakiwa backstage


 Christian Bella “Rais wa Masauti” akiwaimbisha mashabiki uwanja wa Jamhuri
 Christian Bella “Rais wa Masauti” akiwaimbisha mashabiki uwanja wa Jamhuri


 Shilole akiwadhihirishia mashabiki kwa nini anaitwa mtaalam wa jukwaa





  Izzo Bizness alikuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani uwanja wa Jamhuri


Hamis Mwinjuma “MwanaFA” akiendeleza burudani ya Hip Hop katika Kili Music Tour Dodoma.

 Izzo Bizness na Joh Makini katika backstage




Ben Pol akiwaburudisha mashabiki wa mkoa ambao alianzia shughuli za muziki



Weusi wakiikamilisha Kili Music Tour Dodoma kwa show kali


Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA