Picha: Kagame na mtoto wake wa kike Ange, waipamba Ikuu ya Marekani

Wakati ambapo marais wengi wa Afrika wameenda na wake zao kwenye mkutano na Rais Barack Obama, Rais Paul Kagame wa Rwanda amechagua kwenda na binti yake, Ange.




Awali tulisema mke wa Rais wa Cameroon, Chantal Biya anaweza kuwa kivutia kwa wengi kutokana na nywele zake, lakini inavyoonesha Angel Kagame ‘ameichukua show’ kwa urembo na urefu wake kama wa Twiga.

Ange ameenda hewani kiasi ambacho Obama na mkewe Michelle kidogo waonekane kama mbilikimo kwenye picha yao ya pamoja. Duuh!
Previous Post Next Post

Popular Items