Wiz kid amjibu davido kupitia twitter 'Nobody got time for that

Ile beef ya kimyakimya ya mastar wa Nigeria Davido na Wizkid haina dalili zozote za kumalizika hivi karibuni. Licha ya Davido kuzungumza na Sahara TV (Agosti 5) na kusema hana tatizo na hit maker wa ‘Holla At Your Boy’ isipokuwa hakufurahishwa na vijembe alivyokuwa akimrushia, Wizkid amemjibu tena kwa mtindo ule ule wa kutotaja jina.




Kupitia mtandao wa Twitter Wizkid ameandika:
“Dumb n*ggas catch feelings! We just tryna make it over here! Nobody get time for that! ATL turn up!”

Previous Post Next Post