Picha: Hizi ndizo picha ulizozimic kutoka katika Birthday party ya Dj Romy J, Official Dj wa Diamond Platnumz

Romy Jones a.k.a Dj Rj ndiye Official Dj wa Diamond Platnumz na katika show za Diamond nyingi Dj Rj ushika usukani katika kuakikisha jamboo lolote aliaribiki Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.



Tangu wiki iliyopita ianze Kupitia akaunti za watu mbalimbali walikua wakimtakia kila la kheri katika siku yake hiyo ya kuzaliwa ambapo Aug 17 akaamua kufanya party fupi ya kuwaalika baadhi ya watu wa karibu na kusherehekea pamoja kwenye club iitwayo 327.

Miongoni mwa watu waliohudhuria party hii ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye kidogo aliperfoam kwa ajili ya watu waliofika kwenye birthday ya ndugu yake Romy Jones.

Tazama picha hapa..

 Romy Jones akijiandaa kumlisha Diamond Keki

 Mashabiki waliofika kutoa support kwa Rj

 Diamond Platnumz akiwa na Romy J wakiifurahi kwa pamoja
 Wema Sepetu akiwa na Shemeji yake Romy Jones
 Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya Romy J

 Romy J akiongea

Previous Post Next Post

Popular Items