Picha: Behind The Scene ya utenegenezaji wa Vdeo mpya ya Iyanya 'Mr Oreo'

Ukipenda unaweza kumuita Mr Kukere, Iyanya Msanii kutoka Nigeria amabye pia amepewa shavu na Super Star wa BongoFlava Diamond Platnumz katika hit ya 'BUM BUM'yuko nchini marekani akifanya video yake mpya ya Mr Oreo


Nyota huyo aka Mr. Kukere ambaye mwaka jana pia alikuja Tanzania na kutumbuiza katika tamasha la Fiesta Dar es salaam, ameachia single mpya iitwayo ‘Story story’ Feat. Oritsefemi.

Hivi karibuni Iyanya pia ameshoot video ya single yake nyingine ambayo audio yake ilishatoka,‘Mr Oreo’.


Uchukuaji wa picha za video hiyo umefanyika wakati wa tour yake ya Marekani na kuongozwa na director aitwaye The Mega Boi.

Tazama picha za behind the scene:










Previous Post Next Post