Music: T.I - Don't Tell Em

Wakati akiwa katika maandalizi ya Album yake mpya ya PaperWork, Rapper T.I ameachia Remix ya 'Dont Tell Em' album ya T.I inatarajiwa kutoka October 21 , Rapper T.I amewashirikisha Rick Ross, The Dream, Ll Boosie ,Jeezy na Paharell amabaye ndiye aliyepandaa Album hiyo ya T.I isikilize Remix hii hapa


Previous Post Next Post

Popular Items

ZANZIBAR WAANZA KUTUMIA DIGITALI