Music: Hii ndio ngoma iliyobeba jina la album mpya ya Criss Brown x

Mwanamuziki Cris Brown katika kuelekea Septemba 16, tarehe ambayo Chris Brown anatarajia kuachia album yake mpya, Jana (August 22) ameachia single mpya inayobeba jina la album hiyo ‘X’.

X imetengenezwa na producer aitwaye Diplo.



Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa