Mjerumani mwenye vipuli vingi zaidi usoni 'Rolf Buchholz, azuiwa kuingia Dubai

Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni 'Rolf Buchholz' akiwa amejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa kuingia Dubai kutokana na sababu za kiusalama.Rolf alikuwa amejipanga kufanya onesho la sarakasi na kikundi chake nchini humo ambapo huonesha michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ‘kumeza mapanga’.



Ameieleza Association Press kuwa maafisa wa uhamiaji walikuwa tayari wameshaweka stamp kwenye Passport yake na kumruhusu kuingia lakini alizuiwa baadae kabla hajavuka eneo hilo.


Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA