Future na Ciara waachana, baada ya Future kuwa na michepuko

Muimbaji Ciara ameachana rasmi na Future, mwanadada ambaye kwa sasa ni mama mwenye miaka 28 ambaye alikuwa amevishwa pete ya uchumba na Future, amevunja uchumba huo baada ya kugundua kuwa rapper huyo alimsaliti au kwa lugha ya sasa, alichepuka. Wawili hao walipata mtoto wao wa kiume, Future Zahir Wilburn mwezi May.






Future alimchumbia Ciara October 2013 na wamekuwa pamoja kwa mwaka mmoja sasa.
Previous Post Next Post