Video: Mapokezi ya Diamond Platnumz yalivyokuwa baada ya kuwasili na tuzo ya AFRIMAMA

Baada ya kupokea tuzo za AFRIMAMA, The SuperStar Diamond Platnmz aliamua kurudi Tanzania ili kuileta nyumbani tuzo hiyo aliyoshinda.Mapokezi aliyoyapata wakati anakanyaga ardhi ya Tanzania alipata mapokezi ya kufa mtu kutoka kwa watu tofauti waliojitolea kwenda kumpokea uwanja wa ndege .


Diamond akuishia hapo tu alimua kuipitisha tuzo iyo sehemu tofautitofauti kama kariakoo na maenoe mengine na katika maeneo aliyopita mapkezi yalikuwa kama hivi tazama video chache hapa chini kujione a mwenyewe. naye Diamond akusita kuacha ujmbe kwa mapokezi aliyoyapata Dar es salaam


Back from @Afrimma Awards part 1!

Kupitia Instagram Diamond Platnumz aliandika ''Japokuwa nina show Canada tareh 2 lakini ilinibidi kwanza nilete Mzigo nlioagizwa na Wananchi Nyumbani kisha ndio nirudi kuendelea na shughuri zangu!... Kama wasemavyo "There is no place like Home... Ever!"

Back from @Afrimma Awards part 2.... Trust me!! i loooooove my fans, ndiomaana ninapokutana nao lazma ustaa niueke pembeni niwafurahishe lol! 😅😅
Previous Post Next Post

Popular Items