Picha: Diamond Platnumz alivyohudhulia red carpet ya uzinduzi wa filamu ya 'THINK LIKE A MAN'

Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E, Terrence J yupo nchini Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine, jana 'alihost' uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN ambayo na yeye ni mmoja wa nyota walioigiza humo.


 Msanii Diamond Platnumz akihojiwa wakati wa uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MENjana.


Msanii Diamond Platnumz pamoja na wageni alioambatana nao akiwemo Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba wakati wakiwasili katika uzinduzi huo.


Terrence akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu ambayo naye ameshiriki kuanza.



 Diamond akisalimiana na baadhi ya mashabiki baada ya uzinduzi.

 Rome J akiwa na Diamond Platnumz akihojiwa na Shadee wa Clouds Tv

 Diamond Platnumz na timu yake wakiwasili

Previous Post Next Post