Picha: Chris Brown na Drake wamaliza beef yao, waonekana studio pamoja

Miaka michache iliyopita rapper Drake na Chris Brown walikua ni maadui wasiopikika chungu kimoja kutokana na penzi la mtoto Rihanna ambaye amewahi kuwa mpenzi wa kila mmoja wao.



Picha mpya inayowaonesha Drake na Chris Brown wakiwa studio ni kiashirio tosha cha kumalizika kwa beef yao iliyopelekea ugomvi uliotokea kwenye club moja mwaka 2012.

Kwa mujibu wa mtandao wa Necolebithie, kuna shabiki mmoja aliyekuwa eneo la studio hiyo Los Angeles, na kupost kila kilichokuwa kikiendelea baada ya nyota hao kuwasili hapo studio.



-Ok this is huge. Drake just drove into Chris Brown’s studio. Chris Brown, Drake and Tyga are together right now. OMG

-I’m loving life right now Chris Brown, Karrueche,

-Drake, Tyga etc. the food, drinks and ice are arriving now! Hell yeahhh we want a collab

-Listening to some awesome tunes right now @Drake @chrisbrown @Tyga

-Sun’s coming up and @chrisbrown @karrueche @Drake @tyga are still in the studio love this

-Chris Brown, Drake & Karrueche just walked out of the studio together, said goodbyes, Drake left, then Chris left in his viper w/ Karrueche

Mara ya mwisho kwa Chris Brown na Drake kushirikiana kwenye wimbo ni katika ‘Dueces’.
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa