Music: Young Killer f/ Banana Zorro – Umebadilika

Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Rapper Young Killer aliomshirikisha Banana Zorro, wimbo huu umefayika chini ya producer Man Walter katika Studio za Combination Sounds, Katika wimbo huu Rapper Young Killer anamuongelea  msichana aliyekuwa akimchukulia poa mwanzo na kisha kubadilika na kuanza kumpenda tena



Previous Post Next Post

Popular Items

WAUKIMBIA MKUTANO WA SALMA KIKWETE

Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa Prezzo!