Music: Team Sharobaro – Alele

Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa Kundi jipya linaitwa Team Sharobaro linaundwa na Bonge la Nyau, Rapper Kinyozi, Bi Shop Mapoz, Alinda (First Lady wa Sharobaro), na yeye mwenyewe Bob Junior hii ndo ngoma yao ya kwanza inaitwa “Alele” Producer Bob Junior


Previous Post Next Post