Mayweather Junior na Marcos Maidana kumaliza ubishi Sept 13 [Video]

Bingwa wa dunia uzani wa kati Floyd Mayweather Junior, amesisitiza kuwa tayari kupambana na mpinzani wake kutoka nchini Argentina, Marcos René Maidana katika mpambano ambao utakuwa na lengo la kumaliza ubishi baina ya wawili hao.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.



Mayweather Junior, ametamba kuwa tayari kupambana na mpinzani wake kwa mara ya pili baada ya kumshinda katika pambano la mwezi May ambapo Marcos Maidana alikubalia kupoteza kwa point.

Endelea kupata Habari Zaidi Kila siku Kutoka BONGO61.COM  Kwa Kijiunga Hapa Buree!.



Mayweather amesema amekubali kurejea tena ulingoni dhidi ya Maidana, kutokana na hali ya sintofahamu iliyojitokeza kwa mashabiki wengi ulimwenguni, baada ya kutangazwa kuwa mshindi kwa point kwenye mpambano uliopita hivyo lengo lake kwa sasa ni kumaliza ubishi kwa kumbamiza mapema.

Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa