Diamond Platnumz Kutumbuiza Jukwaa moja na T-Pain Marekani, ni katika tuzo za AFRIMAMA zitakazo fanyika Jumamosi hii ya July 26

Tuzo za ‘African Muzik Magazine Awards’ (AFRIMMA) zinatarajiwa kufanyika Jumamosi ya wiki hii (July 26) huko Texas, Marekani.


Wasanii walioko kwenye orodha ya kutumbuiza ni pamoja na Davido, Iyanya, Diamond Platnumz, Khulichana, Flavour, 2Face, T-Pain na wengine.



Nominees wa Tanzania katika tuzo hizo ni pamoja na Diamond Platnumz ambaye anawania vipengele 5, Ben Pol,Lady Jaydee, Mrisho Mpoto na producer Sheddy Clever wote wanawania kipengele kimoja kila mmoja.

Previous Post Next Post

Popular Items