Diamond amwandikia Wema Sepetu Ujumbe akiwa Marekani,baada ya kummiss

The Super star na Mshindi wa tuzo za AFRIMAMA kwa upande Afrika Mashariki  Diamond Platnumz, amemwandikia laazizi wake Wema Sepetu ujumbe baada ya ndege aliyokuwa kitarajikusafiria kuchelewa akaona sio vibaya kumwandaikia mpenzi wake yale ya Moyoni kuwa amemimiss sana, Kupitia moja ya Mitandao ya kijamii Diamond alipost picha nakuandika ujumbe kwa mpenzi wake huyo



'Katka ujumbe huo iamond alisema 'If they Knew How much i miss this Face... they Wouldn't have delayed my flight 😞😡' ujumbe huo uliambatana na picha hii hapo chini



So napendeza kwa mpenzi kumkumbuka mpenzi wake kipindi yuko mbali kwa khali kama hii uzihirisha upendo na mazoea waliyonayo wapenzi...'Big Up sana Diamond Platnumz kwa kumkumbuka kipenzi chako'

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA