Behind the scenes: Victoria Kimani f/ Diamond & Ommy Dimpoz washoot video ya wimbo wa Prokoto

Chukua muda wako kutazama picha za ‘behind the scenes’ za uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani uitwao ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.

Tazama picha hapa...















Previous Post Next Post