Audio: Ali Kiba atoa kionjo cha Nyimbo yake mpya, Sikiliza hapa

Mashabiki wengi wamekuwa wakisubiria kwa hamu san Ali Kiba kuachia ngoma yake mpya na atimaye leo ametoa kionjo cha nyimbo yake hiyo mpya Kimasomaso #Teaser’ na katika teaser ya pili ameandika ‘Mwana #Teaser’. Hii inamaanisha anaachia nyimbo mbili? Kesho Ijumaa (July 25) tutapata majibu atakapotambulisha kazi mpya




Mwana #Teaser
Previous Post Next Post

Popular Items