Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, tazama video hapa akizungumza zaidi
Mtazamae akiongea hapa wakati akiojiwa na Global Tv Online...