Video: Jennifer Lopez – First love

Jennifer Lopez ameachia video ya single yake ya pili iitwayo ‘First Love’ kutoka katika album yake mpya ‘AKA’, inayotarajiwa kutoka mwaka huu. Audio ya wimbo huo ilitoka mwanzoni mwa mwezi uliopita (May) na video imetoka rasmi May 29.



Previous Post Next Post

Popular Items

TIGO YAPOKEA TUZO YA UCHANGIAJI DAMU

2FACE IDIBIA : AFRICAN SUERSTAR