Video: Hivi ndivyo Performance ya Diamond na Davido ilivyokuwa katika MTV Mama Awards 2014

Kama aukubahatika kutazama performance aliyofanya Diamond Paltnumz na Davido pale Durban South Afrika katika utoaji tuzo wa MTV MAMA Awards utapata kuitazama hapa kupitia Bongo61Tv, Tazama performance hii alafu utaniamabia je unaionaje performance ya Diamond Platnumz hasa katika swala la performance za kimatafa na je kuna utofauti wowote kati ya performance ya Diamond na Davido?



 Hili nakuachia wewe mdau uweze kutoa maoni yako katika swala hili

Previous Post Next Post