Picha: Uzinduzi wa Video mpya ya Jux 'Nitasubri' uliofanyika Club Billcanas

Tazama picha za kilichoendelea katika uzinduzi wa video mpya ya Mwanamuziki wa miaondoko ya R&b aitwaye Jux katika siku ya jumpili iliyopita uliofanyika pale Club Billcanas na kuhudhuriwa na wadau kibao.



Mc wa show hiyo alikuwa ni B-12 ndiye aliyeendesha show nzima na wasanii kama Cyril na keiza na wengine walikuwepo katika kutoa support.

Taszama picha zaidi hapa









Previous Post Next Post

Popular Items

Miss Ilala Vipaji Kumenyana Leo