Picha: Picha ulizozimic kutoka Instagram, @MisGerald #Agness Masogane akiwa na Mchumba wake

Katika pitapita yangu jioni hii nimekutana na picha hizi za Video Queen Agness Masogane alizopiga kimahaba kabisa akiwa na Mpenzi wake aishie south Africa, kwa kujionea mwenye tazama picha hapa, kumbe huyu ndiye furaha ya Agness Masogange



Tazama picha alafu uniambie mpenzi wake huyo wa Video Queen huyu anafanana na mwanamuziki gani  maarufu wa R&b Duniani?





Previous Post Next Post