Picha: Huu ndio Mjengo mpya wa Ney wa Mitego, Kuhamia Leo

Mziki unalipa, wanaosema mziki aulipi basi awajaupatia au hawajajua nini wafanye ili kufikia malengo yao, Msanii ney wa mitego mziki kwake unalipa na haya ndio majibu ya mziki unalipa au la! Ney wa mitego amesahre picha hizi kupitia account yake ya instagrama na kuandika 'brand new one..#Nisan#Murano#mybirthday#gift#from me#thanx god#money #makers#966 #rich#rapper#money #makers #big #surprise#2come' , So kumbe kuna suprise nyingine zinakuja toka kwa ney wa mitego.




Tazama picha hizi za Mjengo Mpya wa Ney wa Mitego











Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa