Baada ya kuingia studio na Chris Brown, Wizkid amshika Justin Bieber

Msanii wa muziki kutoka Nigeria Wizkid anazidi kudhihirisha ukubwa wake katika muziki. Jana msanii huyo alionekana akiwa studio na Chris Brown ambapo tunaamini amefanya nae kazi kwa kuwa ni rafiki yake wa karibu.



Leo picha nyingine zimetoka zikimuonesha Wizkid na Justin Bieber na bila shaka itakuwa kikazi zaidi.

Wizkid mwenye umri wa miaka 23 alitajwa na BBC kama Justin Bieber wa Afrika kwa kuzingatia uwezo wake na umri wa Justin (20).

Just played some amazing music tonight!! Big talent! Amazing” alitweet Wizkid.
Previous Post Next Post