Akaunti ya twitter ya Diamond Platnumz yawa verified

Msanii Diamond Platinumz amezidi kupiga hatua nyingine katika mtandao wa kijamii wa Twitter baada ya akaunti yake kuwa verified leo June 6


Hivi sasa Diamond ni msanii wa kimataifa ana kila haki ya kuwa mmiliki halali wa akaunti yake hiyo yenye followers zaidi ya 84, 400
Previous Post Next Post

Popular Items