Video: Mkude Simba akiongea juu ya Diamond Platnumz

Kama utakuwa ujamjua mkude simba kwa kumuona basi kwa mara ya kwanza unakutana naye katika video hii akimpigia promo au kutoa support kwa The Super Star wa Bongoflava Diamond Platnumz katika kumpigia kura ali aweze kurudi na tuzo za MTV MAMA.




Msikilize hapa mkude simba mwenyewe a.k.a Mitsun Chakalaboti

Previous Post Next Post