Sikiliza ngoma mpya kutoka kwa J-Martins inayoitwa Dance 4 Me, ngoma mpya na Club Bang isikilize na kuidownload hapa @Bongo61
Mbali na ngoma hii J-Martins alishafanya ngoma na wasanii wa Bongo kama Tupogo na Ommy Dimpoz pamoja na Bila kukunja Goti ya Mwana FA na Ay
Hii ni Hit Mpya kutoka kwa J-Martins na kwa maali uatzisikia sauti za Dj Arafat