Manchester City ndio mabingwa wa EPL Msimu huu wa 2013/2014

Baada ya upinzani wa kusisimua katika msimu huu wa 2013/2014, msimu ambao Liverpool wataujutia kwa kuukosa ubingwa baada kuteleza dakika za mwisho na hatimae Manchester city kunyakua kombe hili la EPL msimu huu.. 




City wamenyakua kombe wakiwa na pointi 86, wakifuatiwa na Liverpool wenye pointi 84 na chelsea wakiwa na pointi 82.

Arsenal ambao walianza ligi vizuri lakini wamemaliza msimu wakiwa na pointi 79.

Manachester city wamemaliza mchezo wao wa mwisho kwa kuwafunga west ham goli 2 - 0 na kutangazwa rasmi kuwa mabingwa wa EPL msimu huu wa 2013/2014
Previous Post Next Post

Popular Items