Huyu ndio mpinzani wa masogange kwasasa hapa bongo!!! noma sana !!!

Kila mtu maarufu hapa bongo anakitu cha kwanza ambacho ndio kilimtoa. Kwa Agness Gerald ilikua ni ile video ya nyimbo ya masogange aliyoimba belle 9 ambayo yeye alikua video queen. Tokea Video ya masogange itoke basi hapo ndipo Agness alipobatizwa jina la masogange na kusifiwa kwa kua na shape moja ya kufa mtu kwa upande wa video queens hapa Bongo. Hadi leo ukitaja video queen mwenye shape ya ukweli basi wa kwanza kumtaja atakua ni Agness Masogange.



Baada ya kushika chati kwa muda sasa , video queen mwingine kutoka Arusha , Hellem aliyeshirikishwa kwenye video ya nje ya box anaonekana kutaka kuchukua mikoba ya masogange. Demu huyu ambaye kwa plan za mwanzo hakutakiwa kutokea kwenye video ya nje ya box kwakua kulikua na video queen mwingine aliyekimbia dakika za mwisho na yeye kuchukua mikoba hiyo anamvuto na umbile zuri na la kuvutia na niwazi aktokea kwenye video nyingine chache basi tutamsahau masogange


Je, Unadhani nani ana shape nzuri?
Previous Post Next Post

Popular Items

EXPENSIVE THING OF THE DAY

New Music: Blue - Pesa