Duh ! Huwezi amini Diamond Kachomoa hii offer…..

Kama unapenda kujua yote kuhusu Diamond basi hapa ndio umefika ,kwani hivi karibuni jamaa alifuatwa na agent kutoka Kenya anaepeleka wasanii nchini Dubai kwa ajili kwa kupiga show lakini kitu cha ajabu mkali huyo alichomoa offer.Jamaa tayari alikua ameweka dola za kimarekani elfu kumi na tano ( $ 15, 000) za kwenda kupiga show Dubai. 


Mkali huyo aliendelea na msimamo wake huo bila ya kupepesa macho kwamba hapigi show hiyo kwa kiasi hicho cha dola, bila ya kusita wala kuwaza mara mbili alisimamia msimamo wake kwamba lazima dola 20 bila ya kupungua hata dola moja. Mkali huyo pamoja na kubembelezwa kila namna lakini alimtaka agent huyo akubali hela hiyo otherwise apotezee kazi hiyo. Big up Diamond kwa kujitambua katika sanaa yetu kwani kusimamia kipato ni jukumu lako na pia ni kusaidia wasanii wadogo kukua haraka.

Je Mashabaki mnauonaje msimamo wa Diamond Platnumz hilo....

Previous Post Next Post

Popular Items