Baada ya kupigwa risasi, haya ndio maneno ya mwisho ya Tupac kwa askari aliewahi kwenye eneo la tukio

Alizaliwa June 16 1971 huko New York Marekani na kufariki September 13 1996 Las Vegas Nevada Marekani baada ya kupigwa risasi zilizosababisha apelekwe University Medical Center of Southern Nevada lakini akafariki dunia siku sita baadae.


Sasa taarifa za hivi karibuni zilizotolewa na Chris Carroll ambae ni askari polisi aliewahi kwenda kwenye eneo la tukio Tupac alipopigiwa risasi, zinasema maneno ya mwisho yaliyotolewa na rapper huyu kwa afande Carroll ni ‘F**k you’ na alitoa hilo tusi akiwa mikononi mwake.

Previous Post Next Post