Mwanadada na mke wa Swizz Beatz Alicial Keys ameachia kionjo cha wimbo wake 'It's On Again,wimbo huo utakaotumika kama Soundtrack kwenye filamu ya The Amazing Spider-Man 2,katika wimbo amewashirikisha Kendrick Lamar & Pharrel Williams
Alicial Keys ft Kendrick Lamar,Pharrel Williams- 'It's On Again' (Video Teaser)