Baada ya kuona anahitaji kuuongezea nyama nyama wimbo "Wale wale" aliofanya na Nay Lee, Kala Jeremiah amedondosha audio na video ya remix ya wimbo huo akiwa na Juma Nature, Ney Lee na Young Killer.
"Nimeamua kuwaweka hawa kwasabbau ya kuwapa mashabiki wa rika mbali mbali ladha tofaui ndio maana kuna Nature, mimi, Nay Lee na mwisho nikamuweka Young Killer." Amesema Kala
"Nimeamua kuwaweka hawa kwasabbau ya kuwapa mashabiki wa rika mbali mbali ladha tofaui ndio maana kuna Nature, mimi, Nay Lee na mwisho nikamuweka Young Killer." Amesema Kala
Tazama hapa video ya Walewale Remix!