Bilionea wa Marekani Howard Buffet ametumia siku zake tatu za mapumziko kutembelea Ngorongoro Crater na Serengeti baada ya kuvutiwa na utalii wa Tanzania alipotembea nchini mwezi mmoja uliopita.
Mara yake ya mwisho alipotembelea Tanzania mwezi March, Howard ambae ana passion na maswala ya Conservation alichangia helicopter mbili kwa serikali ambazo zitatumika katika kukomesha ujangili katika sehem zinazolindwa.
Kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro, Howard aliekuwa ameambatana na mkewe, lipokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa maliasili na utalii, Mh Lazaro Nyalandu
Tazama picha hizi..!
|
naweza kuruka juu kama Maasai...Buffet ameonekana akisema hivyo |
|
Hapa Bilionea huyu akifurahi pamoja na Wamasai katika kuruka juu |
|
Howard akicheza na kina mama wakimaasai |
|
Mh Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo ya swala katika uwanja wa ndege wa KIA |