Video: D'Banj, Diamond, AY, Victoria Kimani, Femi Kuti, Fally Pupa - Cocoa na Chocolate (Official Music Video)

Tazama video mpya ya wimbo mpya wasanii wakubwa wa Afrika ambao unahamasisha kilimo cha kakao na Chocolate katika bara la Afrika kupitia kampeni ya shirika la One ‘One Campaign’.



Wasanii walioshiriki ni D’Banj (Nigeria), Buffalo Souljah (Zimbabwe), Judith Sephuma (Afrika Kusini), Vusi Nova (Afrika Kusini), Liz Ogumbo (Kenya), Nancy G (Swaziland) , Dama Do Bing (Msumbiji) , Diamond (Tanzania), Femi Kuti,(Nigeria) Rachid Taha (Algeria), Juliani (Kenya), Omawumi (Nigeria), Tiken Jah Fakolyu (Ivory Coast), Fally Ipupa (DRC), Kunle Ayo (Nigeria), Omawumi (Nigeria) AY (Tanzania), Wax Dey (Cameroon), Victoria Kimani (Kenya) na Dontom (Nigeria). 

Itazame hapa ...

Previous Post Next Post