Video: Behind the scenes video ya Queen Darleen f/ Shilole 'Wanatetemeka '

Zikiwa zimebaki siku chache kutoka kwa video ya msanii Queen Darleen “WANATETEMEKA” aliyomshirikisha Shilole, video ya behind the scenes inayoonyesha jinsi mchakato wa utengenezaji wa video hiyo ulivyokuwa imetoka. Video hiyo inategemewa kutoka rasmi Jumapili hii ya tarehe 6 April kwenye ukumbi wa Club Bilicanas.


Itazame hapa ..!





Previous Post Next Post

Popular Items

WAUKIMBIA MKUTANO WA SALMA KIKWETE

Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa Prezzo!